Mattan - Niache (Official Video)

preview_player
Показать описание
"How do you know when it's over?" "Maybe when you feel more in love with your memories than with the person standing in front of you."

#NIACHE video directed by @fole_x Audio prod. by @babanekka

CATCH UP WITH MATTAN ON

Copyright (C) 2021 Mattan. / @freshsound24.7

#Mattan
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kaka unajua kinoma Sana blood by #danline 😁✊🎧🎼💥💥💥🔥

danlinetz
Автор

Wakuache tu baba angu maana shida hizi daah nakubali my brother

Starvanofficial
Автор

Niache goma la Dunia nmesikiza halichoshi sikio kakà 👏

leadflavour_tz
Автор

Umetumwa na kijiji uje uwakiliahe nn Mattan unajua kuimba sana

thedragoners
Автор

Hongera sana mwanangu hujawah niangusha

gama_liely
Автор

Duuuuh mwanangu unajua kwanzia uandishi, mbaka melodies

BBrown_vevo
Автор

It's so hot brother, nmeskliza zaid ya Mara saba

christopozzy
Автор

Mimi Kama man boy nasema hiiii ngoma nikali Sana afu Melody Kali ni🔥kichupa ndo unyama kabisa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

manboychipa
Автор

Nakubali hili zigo kaka toka kenya #PRINCEMARKX ashaipenda

princemarkx
Автор

Bro mungu akupiganie zaidi ufike mbali kazi nzri

asaboy
Автор

Dady sijui niseme nini ila unajua navyo nyoosha babaa umeua saaana

majorchampions
Автор

Oa weee mzgoo umetufikia kw hew kit Og

drizzytz
Автор

Kazi Hipo Poa Mwanangu Keep It Up Good Job

cocotz