Dj sma tunajua una majukumu mengi ila haututendei haki kabisa. Umekua kimya muda mrefu sana, tumekosa madini yako sana na pia kukumiss kweli kweli. Dah! Ila Mungu akujalie
michaeljuma
Ni kweli japo mrusi anapoteza lakini nchi za Magharibi na Marekani wanapoteza mara mia zaidi ya mrusi karibu kwenye sector
braystuskibassa
Naitwa atrashi juma lukonga kutoka Burundi rumonga nafurahiswa nahabarizao mungu akulinde namitiyani
WasafiDubaishop
Thanks DJ SMA, nakufatilia from belgium
EstellaUwimana-xu
Mashallah DJ sma hayo makala unayo andaa inaweza chukua kama mdagani😊
Mahir--qe
Hiyo makala itakuwa nzuri sana kwa uelewa. Tunakuombea ufanikiwe na utimize hiyo Ahadi!
samwelshepa
Daaah ihi inaitwa pinga nikupinge sema ulaya walipataga bahati wanamiliki media zote isingekuwa ivyo duuuh jamaa wanaumia sana ni ivyo tu hawasemi kitu kwenye media 📺 zao. Mimi nafata sns kutoka westen cape 🇿🇦🇨🇩✌✌.
abdullahmapesa
TUNAKUOMBEA MUNGU UTUKAMILISHIE MAKALA HIO❤ LOVE FROM KATAVI
animalchannel
Safi sana makala nzuri sana twaisubiri hiyo nyingine
PaulMasega-yysz
Poleeee sna mwana fusee tuko pamoja master.. naskia mzunguko huo wanapata hasara kila ruti dola elf 20 tofaut nawangetumia anga la urusi hiyo hasara isingekuwepo.. ttunaisubiriii hiyo makala kwa hamu kubwaa mkuuu we ni ginius tunakuamin sna sna... mi nakufatilia kutoka kisesa nje kdg ya jiji la mwanza...
MursalLusinde
Uko vizuri mkuu.Unajitahidi sana, M.Mungu akuzidishie elimu na akupanue fahamu zako.
SwedyMohamed-vtzm
Hii inaitwa, "Do me, I do you."😂🤣
shyfettymtunda
Utatisha sana ukileta mada ya middle east
salminijumasalminijuma
Mwizi hakimsaidii anachokiiba zaidi ya hasara
RaibebeBebe
Tunajiandaa kuiskiliza dj sma Allah azid kukupa afya from Zinjibar
SheikhaSalum-pv
daah tulikua tumemiss sna vitu vizuri kama ivi aisee😢😢 we love you @djsma