filmov
tv
Kulipuka kwa Ebola nchini Congo DR: Tanzania yajidhatiti mipakani kukabiliana na Ebola
Показать описание
Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii imeendelea kuimarisha tahadhari ya tishio la Ebola baada ya ugonjwa huo kuendelea kuua watu nchini DRC.
Mtu mmoja alifariki Jumapili nchini DRC kufuatia kukumbwa na ugonjwa huo.
Mtu mmoja alifariki Jumapili nchini DRC kufuatia kukumbwa na ugonjwa huo.