HAJI MANARA: SITAZAMI GAME ZA SIMBA!/ HERSI ANANIKUBALI SANA/ SIO MNAFIKI

preview_player
Показать описание
Msemaji wa Young Africans haji Sunday ramadhan Manara amefunguka kuhusu namna anavyoipenda klabu hiyo, huku akikana tuhuma za kuwa mnafiki.
--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.

JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Instagram: @Dar24Tz
⚫️ Facebook: @dar24news
⚫️ Twitter: @Dar24News

#hajimanara #yangasc #mashabiki
Комментарии
Автор

Haji ni yanga kwa kua Simba wamemuumiza sana

scholasticawillson
Автор

Haji manara nakuamini Sana ni kweli wanaumia YANGA ikishinda tukutane kwa mkapa hatoki kolo watazimia Sana ndio 😂

innocentjoram
Автор

Hapana huwezi kuwa simba halafu uje useme wewe ni Yanga hilo si kweli kabisa

kassidpandu
Автор

Hili albino mwizi mkubwa, aliiba CCM wakamfukuza. Domo lake limejaa mavi. He is a moron!

adam-saffi
Автор

Jamaa analalamika km wamemtatua marinda acha shobo shobo ndo zinakuponza we msukule

fatmaabasi