BODABODA YAUA WAWILI WAKIKAMATA KUMBIKUMBI KIJIJINI, KAMANDA AELEZA...

preview_player
Показать описание
BODABODA YAUA WAWILI WAKIKAMATA KUMBIKUMBI KIJIJINI, KAMANDA AELEZA...

Watoto wawili Sia Ramadhani na Neema Moshi wamefariki dunia kwa kugongwa na pikipiki maarufu kama boda boda wakati wakikamata kumbikumbi katika barabara ya Kijiji cha Mahembe, halamashauri ya wilaya ya Kigoma

Kufuatia tukio hilo Kamanda wa polisi Mkoani Kigoma Acp Filemon Makungu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo....

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Комментарии
Автор

Hee, na waje Zanzibar waje wakamate ao wadudu wapo kibao ikija mvua, hakuna anae wataka

murattywamuratty