filmov
tv
ZIWA VICTORIA KUPUMZISHWA WADAU WATOA YA MOYONI
Показать описание
MWANZA: NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Alexander Mnyeti ameishauri Taasisi ya Uvuvi ya Ziwa Victoria (LVFO) kuanza kufikiria uwezekano wa kulipumzisha Ziwa Victoria kwa muda watakaoona unafaa kwani limetumika kwa muda mrefu bila kupumzika na limeaanza kupoteza baadhi ya viumbe maji haswa Samaki wadogo wadogo ambao hawawezi kufugwa kwa njia ya vizimba.
Mnyeti ameyasema hayo jijini Mwanza akimwakilisha Waziri wa Uvuvi na Mifugo Abdallah Ulega katika ufunguzi wa kongamano la tatu la Afrika Mashariki la ukuzaji viumbe maji.
Mtayarishaji: Cyprian Magupa
Follow us on:
FACEBOOK;
INSTAGRAM;
TWITTER;

Комментарии