DUNIA EPISODE 65

preview_player
Показать описание
#Dunia #vailet #asmafilms #manyanya #asma #dunia #Dunia59 #Dunia58 #Duniaepisode59 #dacaty #vailety #mudimzungu duniaep62 #dunia62 #duniaep63 duniaep63 #manyanya #likatv #duniaep64 #dunia64
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

kama unampenda mtunzi wa dunia gonga like yako

مزنهسالممحمدالسنانية
Автор

Tunawakubali wanetu mumetisha xana pamoja kutoka lusaka Zambia ❤❤❤❤

Nanabestwinner
Автор

Ndoa na iheshimiwe na watu wote
Team Vai oye🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️

NeemaChessa
Автор

Amefanya vizuri kwa sababu mtoto sikuzote hueka wazazi pamoja ❤❤❤❤❤

MwanapiliKipasho-jtro
Автор

❤❤❤❤❤❤ unyama Sana matlida n bola umemuweka wazi manyanya

JaneSagi
Автор

Baba asma anakiti chake mbinguni,
amejua kutuburudisha

SevelinaHamisi
Автор

Manyanya usimwache mkeo Vai utaratibu movie

ElizaHeneriko
Автор

Ongela sn mati nivizuliata ukificha mimb mtoto anakuumbua❤❤❤❤❤

MariamEvarist-pk
Автор

Ila Dunia mtuonee huruma, tunataka Episode 2 au Tatu kwasiku 🥺😢

DebbyLitina-fc
Автор

😂😂😂😂 daaah kwakweli kina dad tunakazi sana

electromartshop
Автор

Uwakika sana Dunia tunajifunza vingi muendelee kutoa vitu vizuri zaidi mungu awabariki kazi ya mikono yenu

DoctorMandia
Автор

nimefurahi sana mati kuwa na mimba ya manyanya

bestangwira-rspu
Автор

Msiwe mnatucheleweshea😢 mmeshatukamata na kututeka

leticiachipando
Автор

Kwanza nmestuka baada ya kusikia 🙄🙄🙄nikuge miti 🤣🤣🤣🤣

RahmaIddi-ss
Автор

Wametuchelewesha bwana, napenda mwanangu mati arudi kwa kawaida wake, Na manyanya alisha jua kama mati ana mimba, inataa aamuwe, kusuka ao kunyola😊🇨🇩🇨🇩

angeatari
Автор

Kweli hii filamu imefunza mambo mengi kwa ndoa, kweli ndoa ina mambo mengi .lakini cha muno ni upendo na uvumilivu.KENYA TUNAWAPENDA SAAANA

jeffombisi
Автор

Dah Dunia ni fire. Ila jamani fanyeni kama mnapita kwangu kuangalia nilichoandaa pia. Asanteni sana.

shavutv
Автор

Weee sasa kutaendaje apa but bora ako na mbegu matii

AngelAmina-gymv
Автор

Naipenda mouvie hii yani safi sana 🎉🎉🎉❤ Allah awape nguvu mzid tupa mafunzo mazur

BukuruKudra
Автор

aisee kwenye hii dunia kun meng mnatufunza asa kwa sie wenye famlia dah mung azd kuwapa ufanis wa ali ya juu sana

EdsonSabinian