DADA WA KAZI NYOKA 💞 SNAKE HOUSE GIRL PART 5

preview_player
Показать описание
USISAHAU KU SUBSCRIBE SHARE AND COMMENT ASANTE
#love #wemasepetu #comedy #film
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

14:02 Watatu Leo siombi kitu ninacho kiomba tu mungu awa bariki wote mtakao soma comment hii Amina sana🙏🙏🙏🙏 ila muv nzur mtuwahishie sana jaman tunawapenda sana❤❤❤❤😂😂

Hadijawashuma
Автор

KAZI nzuri kidawa n nuru ❤hongera kufikia hapo smart

SalomeMideva
Автор

😂😂😂😂😂😂umejuwaa kuwakomeshaa😂😂😂😂😂 asante kidawa❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

aminahhuawei
Автор

Mi nampenda sana jalia na ka sura kake jaman

ZulfahNuhu
Автор

Zubeda anaenda kumaliza Mzee English nyingi 😂😂😂 akiingia kwenye mfumo baaasi baaasi baaasi na kidawa hataondoka maana mishen hiyo

emmanueldionismbena
Автор

Nawapenda san jaman kazi nzur mauwa yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

Najma-bcwl
Автор

Nimependa kofi kofi ililo🎉🎉pewa namchawi😂😂😂😂

AdamOman-ns
Автор

Ukisikia ukilala nchale ukiamka nchale ndo hii😂😂😂😂😂

maimuna
Автор

Napenda pia Mimi unifunze kidawi nifanyishe Hawa wa Saudi kazi Kama hiyo mzuri sana

janephaphaatemba
Автор

Watu wenye wanaitwa chimami wako na tabia mbaya sana😂😂😂😂😂😂😂😂

NANCYNYACHAMA
Автор

Kidawa safi sana wafanyishe kazi kabisa 😂😂😂😂😂😂😂 wanamazarau sana hata baba yawo mufunze adabu ache kukushimanga 😂😂😂😂

chantalmariesony
Автор

Nakubali kidawa.ilo lenye mimba likiamka litakua halifai

aliAli-bzs
Автор

Jamn kidawa unahatali wewe nimeipenda hiyo

MarthaSimeon-lw
Автор

Safi sana nulu mukomeshe ikjbid toa kabisa kimimba chake akome kuonea

MarthaSimeon-lw
Автор

Tunakupend py kipenzj natuko pamoja na we

MarthaSimeon-lw
Автор

😂😂😂 wenye midomo leo mmewezwa mnafanya kazi bila kutaka

sesiliahussein
Автор

Kidawa nightie na mimi niwaadabishe waarabu 😂😂

aishaaisha
Автор

Madam chimam hata ckupendi una roho mbya duuuh na huyo chawa wako wakomeshe kidaw

Happy-bbe
Автор

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kazi mbele midomo funga😅😅😅😅😅😅😅😅😅 kidawa

HhUhh-ioix
Автор

Wakwanza leo naombeni like ata moja aisai ❤

Hope-dqor