Jinsi ya kutengeneza website ya kuuza courses na payment Integration (Learning Management System)

preview_player
Показать описание
Useful Links:

Unaweza kuuza courses na kupata fedha. Kwenye hii video ntakuonyesha jinsi ya kuuza courses na kupata pesa.
Hii video inaonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza learning management system, ukiangalia hii video mwanzo mwisho utakuwa na uwezo wa kutengeneza website kama hii.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

kwa uzoefu wako payment gateway nzuri kwa mobile money za tz ni ipi katika hizo ulizotaja?

DrNatureclinic